Huku mvua zikiendelea kunyesha athari zake zinaendelea kushuhudiwa sehemu mbalimbali mfano Kisumu nchini Kenya. Miji kadhaa Afrika mashariki pia imeathiriwa na maafa mbalimbali kutokana na mvua hizo ambazo sasa zimedumu kwa zaidi ya miezi miwili. Watu wasiopungua wamefariki kufuatia athari za mvua hizo Afrika Mashariki