SiasaMaelfu wakimbia vita Kongo01:21This browser does not support the video element.SiasaGrace Kabogo16.02.201816 Februari 2018Maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamekimbilia Uganda, kutokana na ghasia zinaongezeka kaskazini mashariki mwa Kongo. Zaidi ya watu 34,000 wamevuka mpaka kwenda Uganda tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Nakili kiunganishiMatangazo