1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maelfu ya Waafghan wanapanga kuondoka nchini humo

01:30

This browser does not support the video element.

16 Agosti 2021

Maelfu ya watu wamekusanyika katika uwanja wa ndege wa Kabul wakisubiri kuabiri ndege kuondoka Afghanistan, baada ya kundi la Taliban kuidhibiti nchi. Hii leo kundi hilo lilichukua udhibiti kamili wa nchi baada ya rais Ashraf Ghani kukimbilia Tajikistan siku ya Jumapili, hatua iliyomaanisha kundi hilo limeshinda vita vilivyodumu kwa miaka 20.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW