AfyaMafanikio: Njia ya Kijerumani kushughulikia janga la corona02:29This browser does not support the video element.Afya13.05.202013 Mei 2020Ujerumani imerekodi visa vichache vya vifo kutokana na janga la corona, ikilinganishwa na mataifa mengine. Aidha hospitali zake hazijakumbwa na shinikizo zaidi kama inavyoshuhudiwa kwingineko. Je siri ya mafanikio katika pambano lao ni ipi?Nakili kiunganishiMatangazo