JamiiMafunzo ya karate kwa watu wenye ulemavu wa ngozi ili kujilinda03:20This browser does not support the video element.Jamii21.04.202121 Aprili 2021Klabu hii inatoa mafunzo ya karate kwa watu walio na ulemavu wa ngozi ili kujiimarisha kimwili lakini pia kujilinda, hasa ikizingatia maisha yao wakati mwingine huwa mashakani, kufuatia imani potofu za kishirikina. Ahmad Juma anasimulia zaidi.Nakili kiunganishiMatangazo