Mafuriko nchini Tanzania baada ya mvua kubwa kunyesha 22.12.201122 Desemba 2011Jiji la Dar es salaam nchini Tanzania limekumbwa na mafuriko na uharibifu mkubwa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.Nakili kiunganishiWananchi wanaokabiliwa na shida ya mafurikoPicha: APMatangazo Mafuriko hayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 11 huku malefu kadhaa wakikosa makaazi. Kutoka Dar es salaam Aboubakary Liongo anasimulia hali ilivyo Mwandishi Abubakar Liongo Mhariri Mohammed Abdulrahman