JamiiMafuriko Uganda yasababisha maafa02:28This browser does not support the video element.Jamii11.05.202011 Mei 2020Zaidi ya familia 1,000 zimeachwa bila makao katika eneo la Kasese Magharibi mwa Uganda. Hii ni kufuatia kufurika kwa mito Nyamwamba Mubuku, Nyamughasana na Lhubiriha ambayo ilipasua kingo zao. Nakili kiunganishiMatangazo