1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuriko yaua watu 10 jijini Nairobi Kenya

03:15

This browser does not support the video element.

25 Aprili 2024

Idadi ya vifo kutokana na mafuriko katika kanda ya Afrika Mashariki inazidi kuongezeka. Jijini Nairobi zaidi ya watu 13 wamekufa katika siku mbili zilizopita huku takwimu zikionesha zaidi ya watu 50 wamekufa tangu mwezi Machi. Nchini Tanzania idadi ya vifo kutokana na mafuriko ya wiki kadhaa imepita watu 155.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW