1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuriko yaua watu 120 DRC

01:45

This browser does not support the video element.

14 Desemba 2022

Mafuriko yaliyoshuhudiwa siku ya Jumanne ya Desemba 13 mwaka 2022 yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 120 katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa. Ni mafuriko mabaya zaidi kuwahi kutokea katika miaka mingi nchini humo na yaliambatana na maporomoko ya udongo ambayo yalisomba makaazi ya watu.