1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuriko yauwa watu Ulaya

25 Agosti 2005

Watu wapatao 34 wamekufa kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa kwenye maeneo ya Ulaya kati na kusini.

Nchini Romania mafuriko hayo yamegharimu maisha ya watu wanane.

Msaada wa kuyakabili mafuriko hayo unaendelea kupelekwa kwenye vijiji nchini Uswis.

Hapa ujerumani maéneo yaliyoathirika vibaya na mafuriko hayo ni pamoja na miji miwili ya jimbo la Bavaria.

Kansella Gerhard Schroder ametoa ahadi ya kuwapa msaada wa haraka walioathirika na janga hilo kwenye jimbo hilo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW