JamiiTanzaniaMafuriko yawaacha wakaazi wa Kigoma taabani04:18This browser does not support the video element.JamiiTanzania06.02.20246 Februari 2024Kutokana na mvua zinazoendela kunyesha mkoani Kigoma watu zaidi ya 200 kutoka kaya 60 wamelazimika kuwa wakimbizi katika mji huo baada ya nyumba zao kujaa maji hivyo kuhatarisha usalama wao. #Kurunzi inaangazia hali ilivyo Kigoma Tanzania.Nakili kiunganishiMatangazo