1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Magavana wa benki kuu Afrika wakutana Arusha

02:32

This browser does not support the video element.

23 Juni 2022

Magavana wa benki kuu za nchi za Afrika pamoja na mambo mengine wanalenga uendelezaji wa huduma jumishi za fedha kwa njia ya kidijitali ili kuimarisha ukuaji wa uchumi. Hatua hii kweli italeta nafuu ya kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida? Tazama video iliyotayarishwa na Veronica Natalis.#Kurunzi 23.06.2022

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW