1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MAGDEBURG :wazee 13 wamekufa katika ajali ya basi

19 Juni 2007

Wazee 13 wamekufa katika ajali ya basi iiyotokea katika jimbo la mashariki mwa Ujerumani.Abiria wengine 31 walijeruhiwa katika ajali hiyo.

Polisi imesema kuwa basi hilo liligongwa na lori kwa nyuma katika barabara iliyokuwa na msongamano mkubwa wa magari na kulisukumia basi hilo kwenye mtaro.Wazee 49 walikuwamo ndani ya basi hilo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW