Kutokana na ubunifu pamoja na uhaba wa ajira kijana Salum Rashid, mtanzania mwenye umri wa miaka 20, amebaini matumizi mbadala ya matairi ya magari kwa kutengeneza majiko ya kupikia kwa kutumia nishati ya mkaa pamoja na zana za kuhifadhia taka maofisini.