Katika enzi hizi za kidijitali, shughuli mbalimbali zikiwemo za mahakama huweza kutekelezwa kwa njia ya kidijitali. Hebu tutazame jinsi ambavyo mahakama hii mjini Mtwara Tanzania inavyoendesha shughuli zake kwa njia ya video kama hatua ya kuepusha kusambaa kwa virusi vya corona.