1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya Burundi yatupa nje kesi dhidi ya ushindi wa Ndayishimiye

00:55

This browser does not support the video element.

5 Juni 2020

Mahakama ya kikatiba nchini Burundi imeidhinisha ushindi wa rais mteule wa Burundi Evariste Ndayishimiye. Mahakama hiyo imesema kuwa hakukuwa na visa vya udanganyifu kwenye uchaguzi huo kama ilivyodaiwa na upinzani uliowasilisha kesi ya kupinga matokeo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW