Mahakama ya Kikatiba katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaanza kusikiliza ombi la kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyompa ushindi kiongozi wa upinzani, Felix Tshisekedi, lililowasilishwa na mpinzani mwengine, Martin Fayulu. Kurunzi 15.01.2019