SiasaMahakama yaidhinisha ushindi wa Kenyatta01:37This browser does not support the video element.Siasa20.11.201720 Novemba 2017Mahakama ya juu nchini Kenya yahalalisha ushindi wa rais Kenyatta. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe aendelea kushinikzwa ajiuzulu, na mazungumzo ya kuunda serikali ya Ujerumani yavunjika. Papo kwa Papo 20.11.2017Nakili kiunganishiMatangazo