1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano na waziri wa Utalii wa Kenya kuhusu hali ya kisiasa nchini

21 Januari 2011

Mivutano katika vyama vya kisiasa imekuwa ikishuhudiwa nchini Kenya tangu kuundwa kwa serikali ya muungano.

Maonyesho ya Utalii mjini Stuttgart ambako waziri wa Utalii Bw.Najib Balala alihudhuriaPicha: AP

Vyama vitatu vikuu ambavyo ni ODM,PNU na ODM Kenya,viliahidi kuunganisha ilani zao za uchaguzi na kuwa moja chini ya muungano huo.

Ni miaka mitatu baada ya kuundwa serikali hiyo ya muungano, je hili limefikia wapi? Waziri wa utalii nchini humo, Najib Balala, amekuwa hapa Ujerumani, na Maryam Dodo Abdalla alipata nafasi ya kuzungumza naye kuhusu maendeleo ya kisiasa nchini humo. Waziri Balala alianza kwa kugusia kuhusu manifesto hizo.

Mwandishi: Maryam Abdalla

Mhariri: Miraji Othman

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW