1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mailand: Euro zaidi ya bilioni 50 zimetumika mwaka huu kugharimia shughuli...

11 Desemba 2003
za umoja wa mataifa za kuwahui watu walioathirika na maafa ya kimaumbile.Fedha hizo zimepindukia gharama za mwaka jana kwa asili mia 10 .Tarakimu hizo zimetangazwa katika mkutano wa kimataifa kuhusu hali ya hewa mjini Mailand nchini Italy.Pekee shughuli za kuwasaidia wahanga wa joto lililopiga ulaya mwaka huu zimegharimu euro bilioni nane.Mkuuu wa shirika hilo la umoja wa mataifa ,bwana Klaus Topfer ametoa mwito wa kuzidishwa juhudi za kupambana na kuchafuliwa mazingira.Ameyataka mataifa ya viwanda yaidhinishe itifaki ya Kyoto.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW