1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha baada ya kurudi nyumbani Kenya: Angela Wambui

03:02

This browser does not support the video element.

4 Oktoba 2020

Alipokuwa Marekani, Angela Wambui alihisi aliishi katika tamaduni mbili. Utamaduni wa Marekani akiwa shuleni na wa Kenya akiwa nyumbani. Japo klurudi kwake Kenya haukupangwa, ameamua kubaki huko. Kama mtangazaji habari katika kituo cha redio cha Capital FM, moja ya vituo vikubwa Kenya, Angela amepata uelewa mzuri wa nchi yake na raia wake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW