1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha kwenye Mto Rhine

01:57

This browser does not support the video element.

14 Februari 2019

Mto Rhine sio tu ni sehemu kuu ya uchumi kwa mataifa yanayopitia ikiwemo Ujerumani, bali pia ni chanzo cha maisha ya binaadamu na viumbe wengine wanaoutegemea. Mohammed Khelef amesimama kwenye kingo za Mto Rhine hapa Bonn na anakuelezea unavyoyagusa maisha ya wakaazi wa eneo hili.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW