1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha na urithi wa Askofu Desmond Tutu

03:58

This browser does not support the video element.

27 Desemba 2021

Askofu mkuu Desmond Tutu amefariki akiwa na umri wa miaka 90. Tutu alitoa mchango mkubwa katika kukomesha utawala wa ubaguzi wa rangi na utengano nchini Afrika Kusini na alishinda tuzo ya amani ya Nobel mwaka 1984 kwa kazi yake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW