1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha ya mapambano katika viwanda vya chuma Tanzania

31 Mei 2012

Viwanda vinavyotengeneza bidhaa za chuma nchini Tanzania vinavyoongoza kwa mazingira duni ya kazi, vikiwa havina vifaa vya kujikinga na majanga licha ya mazingira hatari yanayoambatana na shughuli hiyo.

Mgodi wa chuma Afrika
Mgodi wa chuma AfrikaPicha: AP

Stumai George anaangazia namna hali ilivyo kwenye viwanda vinavyozalisha bidhaa za chuma nchini Tanzania na namna maisha ya watu yanavyoteseka katika jitihada za kujitafutia riziki. Kusikiliza kipindi hiki, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Makala Yetu Leo
Mada: Viwanda vya Chuma Tanzania
Mtayarishaji/Mtangazaji: Stumai George
Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi