JamiiMaisha ya Vijijini02:26This browser does not support the video element.JamiiVeronica Natalis25.05.202325 Mei 2023Katika video hii utaona ni jinsi gani maisha ya watu wa vijijini yanatofautiana na maisha ya watu wa mjini. Mwandishi wa DW Veronica Natalis amewatembelea wakazi wa kijiji cha Maswea wilaya ya Ikungi mkoani Singida nchini Tanzania.Nakili kiunganishiMatangazo