1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Majeshi ya usalama Sudan yapambana na waandamanaji

Sekione Kitojo
20 Desemba 2018

Hali ya hatari imetangazwa katika mji wa Atbara baada ya mamia ya watu kuandamana.

Sudan Protest Polizei ARCHIV
Picha: Getty Images/AFP/A. Shazly

Majeshi  ya  usalama  yamefyatua  mabomu  ya  kutoa machozi  baada  ya  mamia  ya   waandamanaji  kuingia mitani  katika  kitongoji  cha  mji  wa  Atbara  nchini  Sudan leo, wakiimba  nyimbo  za  kuipinga  serikali.

Hali  ya  hatari  imetangazwa   katika  mji  huo  jana  baada ya  mamia  ya  watu  kuandamana  dhidi  ya  ongezeko  la bei  na  kuchoma  moto makao  makuu  ya  chama  tawala katika  eneo  hilo.

 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW