Makumbusho ya taifa Tanzania inaendesha mradhi wa makumbusho inayotembea, dhima ni kuwafikia watu wengi zaidi na kuwapa habari nini hasa jukumu la makumbusho ya taifa,wanafunzi wamekuwa wanufaika wakubwa wa programu hiyo.
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.