Jijini Kampala, gari ndogo za abiria zimepambwa na mabango yenye tangazo la kuwahimiza wazazi kupima vinasaba yaani DNA ili kubaini udugu wao na watoto wao. Tizama video hiyo kwa kina iliyoandaliwa na Lubega Emmanuel. #kurunzi
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.