Malaria Zanzibar27.02.200727 Februari 2007Wataalamu kutoka barani Afrika, Ulaya na Marekani wameanza kikao cha siku tatu mjini Zanzibar, kujadili maendeleo na matatizo ya tiba ya Malaria.Nakili kiunganishiMatangazoMalaria inakisiwa kusababisha vifo vya watu milioni 1 kila mwaka hasa watoto wachanga walio na umri chini ya miaka mitano, barani Afrika. Salim Said Salim anaripoti ifuatayo.