1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Malkia wa pembe za ndovu ahukumiwa miaka 15 jela

01:00

This browser does not support the video element.

20 Februari 2019

Mahakama nchini Tanzania imemhukumu mfanyabiashara maarufu wakichina aliyepachikwa jina la malkia wa pembe za ndovu kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la kufanya biashara ya kusafirisha meno ya tembo zaidi ya 350 kuelekea Asia. Hukumu hiyo ni ushindi mkubwa katika mapambano ya kuutokomeza ujangili barani Afrika. Kurunzi: 19.02.2019

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW