Malu Malu mpatanishi wa DRC afariki01.07.20161 Julai 2016Padre Apollinaire Malu Malu aliyekuwa kiongozi wa tume huru ya uchaguzi Kongo na msimamizi wa mazungumzo baina ya serikali na makundi ya waasi amefariki huko Dallas, Marekani, baada ya kuugua saratani.Nakili kiunganishiPicha: Getty Images/AFP/Y. BoucauMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.