Tazama makundi makubwa ya raia wa Iran walivyofurika mji mkuu Tehran, kumuaga aliyekuwa Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei ambaye aliuawa na Marekani na Israel mwezi Februari.
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.