JamiiAfrikaMamilioni wakabiliwa na njaa Somalia01:23This browser does not support the video element.JamiiAfrikaSylvia Mwehozi07.09.20227 Septemba 2022Umoja wa Mataifa umeonya kuwa njaa inayanyemelea maeneo mengi ya Somalia huku maisha ya mamilioni ya watu yakiwa hatarini na kutoa mwito wa kuongezwa mara moja kwa usaidizi wa jamii za vijijini zilizoathirika. Nakili kiunganishiMatangazo