1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni ya wakaazi wa Goma juu ya vikosi vya Jumuiya ya Afrika Mashariki

04:45

This browser does not support the video element.

Daniel Gakuba
20 Aprili 2023

Imetimia miezi sita tangu vikosi vya Jumuiya ya Afrika Mashariki vianze kuwasili mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, baada ya waasi la M23 kuanza kuyakamata maeneo makubwa. Ingawa kuna hali ya ahueni, wakaazi wa mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini, Goma, hawana imani kubwa na majeshi hayo. Mwandishi, Benjamin Kasembe ameyakusanya maoni yao katika vidio hii. #Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW