1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni ya wakenya wakisubiri matokeo ya urais

01:59

This browser does not support the video element.

12 Agosti 2022

Wakenya wametoa maoni yao wakati huu ambao wanasubiri matokeo ya kumjua mrithi rais Uhuru Kenyatta ambae anamaliza muda wake siku chache zijazo baada baada ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka kumi. Vyombo vya habari vimesitisha kutoa matokeo ya awali kama ilivyokuwa ikifanya tangu kumalizika kwa zoezi la upigaji kura mnamo August 9

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW