1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni ya Watanzania juu ya Covid 19 na chanjo yake

03:04

This browser does not support the video element.

28 Januari 2021

Siku moja baada ya kauli ya Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ya kutilia shaka chanjo zinazotengenezwa na mataifa ya magharibi katika kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona, baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya msimamo wake kuhusu corona na chanjo yake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW