1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
PanoramaUjerumani

Maonyesho ya ajira yanayowalenga Wajerumani wenye asili ya Afrika

03:25

This browser does not support the video element.

Babu Abdalla Lennart Attenberger
19 Oktoba 2022

Maonyesho ya ajira yanayowalenga Wajerumani wenye asili ya Afrika yamefanyika mjini Frankfurt, Kusini Magharibi mwa Ujerumani. Maonyesho hayo yaliwapa washiriki fursa ya kukutana na kampuni za Kijerumani na za Kimataifa na kujua kuhusu uwezekano wa kujiunga nazo. Tazama video hii iliyoandaliwa na Lennart Attenberger ambaye alihudhuria maonyesho hayo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW