Maonyesho ya Teknolojia mjini Hannover,Ujerumani
22 Aprili 2008Matangazo
Makampuni kutoka mataifa makubwa kabisa kiviwanda duniani yanashiriki katika maonesho hayo, yanayodhihirisha safari ndefu iliyonayo afrika katika dunia ya sayansi na teknolojia.
Hii ni kutokana na kutokuwepo kwa wadau wa sekta za kiviwanda na kiufundi kutoka afrika katika maonesho hayo.
Kutoka Huko Hannover Aboubakary Liongo anayeudhuria maonesho hayo ametutumia taarifa ifuatayo