JamiiHenry Mdimu, mwandishi wa habari albino12.11.201512 Novemba 2015Henry Mdimu, mwandishi wa habari albino nchini Tanzania ameamua kuitumia kazi yake kuwaelimisha watu, na kujaribu kubadilisha imani potofu juu ya ulemavu wa ngozi.Nakili kiunganishiPicha: DW/A. LattusMatangazoMapambano ya mwandishi albino dhidi ya unyanyapaa03:20This browser does not support the video element.