SanaaMapambo kutokana na chupa zilizotupwa03:00This browser does not support the video element.SanaaJohn Juma04.04.20184 Aprili 2018Wengine walipomaliza kutumia yaliyokuwemo ndani, walizitupa. Lakini yeye aliamua kuziokota hizo chupa na kuzitia nakshi. Kutana na huyu mwanamke mjasiriamali kutoka Tanzania anayepata riziki yake kwa kutengeneza mapambo kutokana na chupa zilizotupwaNakili kiunganishiMatangazo