1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapenzi kati ya watu wa uraia au utamaduni tofauti Afrika

03:25

This browser does not support the video element.

8 Machi 2023

Wanasema mapenzi ni kama kikohozi hayafichiki. Je maoni yako ni yapi kuhusu mapenzi au ndoa kati ya watu wa mataifa tofauti au tamaduni tofauti? Je ni njia zipi bora kukabili changamoto za utofauti wa tamaduni kwenye mahusiano kama hayo? Tizama vidio hii ya #VijanaMubashara #77Asilimia kisha utupe fikra zako.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW