1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapigano makali yazuka Mashariki mwa Kongo baina ya majeshi ya serikali ya DRC na waasi wa kundi la CNDP

25 Septemba 2008

Huko Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ripoti kutoka mashariki mwa nchi hiyo zinasema kuwa jana majeshi ya serikali na yale ya waasi wa kundi la CNDP linaloongozwa na jenerali muasi Laurent Nkunda yalipambana vikali.

Mapigano mashariki mwa Kongo yazuka upyaPicha: AP

Mapigano hayo yalitokea mchana kutwa jana katika maeneo ya Rumangabo,Kanombe na Kibirizi katika wilaya ya Ruchuru na wilaya ya Musisi.

Kutoka Goma mashariki mwa Kongo mwandishi wetu John Kanyunyu ametutumia taarifa ifuatayo




Ruka sehemu inayofuata Ripoti na uchambuzi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW