1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01:13

This browser does not support the video element.

Yusra Buwayhid
6 Julai 2017

Maporomoko ya Viktoria yapo hatarini. Tuliswayo Muteba kutoka mji wa Livingstone, Zambia, amejitolea kulilinda eneo linaloyazunguka maporomoko hayo, dhidi ya uharibifu wa mazingira. Kila siku anashuhudia namna misitu inayolizunguka eneo hilo inavyoharibiwa. Muteba ameamua kuwafundisha watoto na watu wazima wa eneo hilo, thamani ya kutunza mazingira, ili kuifufua tena misitu hiyo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW