1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiSierra Leone

Marejeo nyumbani- Simulizi ya Chernor Bah

03:51

This browser does not support the video element.

17 Mei 2023

Chernor Bah alifanya uamuzi wa kurudi katika nchi yake Sierra Leone baada ya kuishi ugenini na kutembea nchi nyingine kwa miaka kadhaa. Kwenye vidio hii ya #VijanaMubashara #77Asilimia, anazungumzia mitizamo anayohisi inawazuia baadhi ya Waafrika kurudi nyumbani. Je maoni yako ni yapi kuhusu dhana hizo?

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW