Marekani imeanzisha harakati za kijeshi Algeria.
7 Machi 2004Matangazo
ALGIERS:
Marekani imethibitisha kuwa imeanzisha harakati
za kijeshi huko Algeria ya Kusini. Ubalozi wa
Marekani mjini Algiers umeeleza kuwa Marekani
inapigana dhidi ya harakati za kigaidi huko
Algeria ya Kusini na eneo la Sahel. Ilisemekana
kuwa ushirikiano huo wa Algeria na Marekani
utatanuliwa katika sekta nyingine, kama kwa
mfano katika mupewa mafunzo wanajeshi wa
Kialgeria.