Marekani imesema iko tayari kuhudhuria mkutano wa pamoja na baadhi ya nchi za eneo la mashariki ya kati mwezi ujao, zikiwamo pia Syria na Iran ili kutafuta suluhisho la amani nchini Iraq.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bi. Condoleeza Rice .Picha: AP