Marekani kufungua ubalozi wake mjini Jerusalem baada ya kuuondowa Tel-Aviv kufuatia rais Trump kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel. Waisrel wafurahishwa na hatua hiyo wakati wapalestina wakiandamana katika ukanda wa Gaza kwenye mpaka wa Israel kuipinga hatua ya Marekani. Jumuiya ya nchi za Kiarabu pia iimeipinga hatua ya kuhamishiwa rasmi ubalozi wa Marekani Jerusalem