1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marekani na washirika wake wafanya mazoezi ya kijeshi

16 Machi 2023

Wanajeshi wa Marekani, Canada, India, Japan na Korea Kusini, wanafanya mazoezi ya pamoja juu ya mbinu za kukabiliana na nyambizi kwenye Bahari ya Pasifiki

China Flugzeugträger Liaoning der Volksbefreiungsarmee
Picha: Zhang Lei/HPIC/dpa/picture alliance

Haya yanatokea wakati ambapo viongozi wa Japan na Korea Kusini wanafanya mazungumzo yenye lengo la kuimarisha ushirika wao na Marekani dhidi ya China na Korea Kaskazini.

Manowari na nyambizi zaidi ya 50, ndege 150 na askari zaidi ya 24,000 wanashiriki katika luteka hiyo.

Mazoezi hayo yaliyoanza hapo jana yatachukua muda wa saa 270 kukamilika. Wakati huo huo, wanajeshi wa China, Urusi na Iran wanafanya mazeozi yao kwenye Ghuba ya Oman. 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW