Marekani yasitisha misaada kwa Wizara ya Afya Kenya
10 Mei 2017
Ufadhili wa dola milioni 21 umesimamishwa kwa sababu ya kukithiri kwa ufisadi katika wizara hiyo. Kiongozi wa upinzani Raila Odinga ameitaka serikali kujitokeza na kuwaleza Wakenya kinachoendelea.
Matangazo
J2 10.05 Kenya: US Government cut 1.2B funding to the ministry of Health - MP3-Stereo