1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Masaibu ya wahamiaji katika kambi ya Calais wakati wa janga la corona

02:01

This browser does not support the video element.

7 Mei 2020

Kando na matatizo ambayo yamesababishwa na janga la corona ulimwenguni kote, wahamiaji nao hawajasazwa. Katika kambi ya wahamiaji ya Calais nchini Ufaransa ni vigumu kwa wakimbizi kutosogeleana. Hii ni kando na kwamba kila kukicha wanahamishwa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW